Mongella atoa onyo kwa polisi kuhusu unyanyasaji
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella amelionya jeshi la polisi mkoani humo pamoja na maafisa ustawi wa jamii, kuhusu madhara ya ukatili wa kijinsia lengo likiwa ni kupunguza vitendo hivyo katika jamii.