Wachimbaji wadogo walia na mikataba ya wawekezaji
Baadhi ya wachimbaji wadogo wa madini wilayani Chunya mkoani Mbeya wameiomba serikali kupitia upya mikataba ya madini inayotolewa kwa kampuni za uchimbaji na kutoa kipaumbele kwa wakazi waliopo katika maeneo yenye madini.