Alikiba nakufananisha na Beyonce kimuziki - Jokate Alikiba Mwanamitindo maarufu Jokate Mwegelo amefunguka ya moyoni na kumwaga sifa za kutosha kwa mwanamuziki Alikiba kutokana na uwezo wake kisanaa na namna anavyoendesha maisha yake. Read more about Alikiba nakufananisha na Beyonce kimuziki - Jokate