Video ya Kala Jeremiah yamkutanisha mama na mtoto Video ya msanii Kala Jeremiah 'Wanandoto' imeweza kumkutanisha mtoto na mama yake mzazi baada ya mtoto huyo kupotea nyumbani kwao tangu mwaka jana mwenzi wa tisa. Read more about Video ya Kala Jeremiah yamkutanisha mama na mtoto