Ukosefu wa ajira kwa vijana nchini wapungua

Anthony Mavunde - Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana

Serikali ya Tanzania imesema kwamba kulingana na takwimu inaonesha kuwa  ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania umepungua kwa asilimia mbili, kutoka asilimia 13.7 mwaka 2012 mpaka asilimia 11.7 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS