Ajali za vifo Arusha zapungua kwa asilimia 24
Katika kipindi cha toka Januari mpaka Oktoba mwaka 2016 ajali za vifo mkoani Arusha zimepungua kwa asilimia 24 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2015, ambapo kulikuwa na jumla ya ajali 74 za huku mwaka huu kukiwa na ajali 56 pekee.