SUMA JKT kuanza ufugaji wa samaki Bahari ya Hindi
Shirika la uzalishajimali lililo chini ya Jeshi la Kujenga Taifa (Suma - JKT) litaanza kutekeleza mpango wa kufuga samaki kwa kutumia vizimba (Cages) katika bahari ya Hindi baada ya mpango huo kuonesha mafanikio katika mito na maziwa mbalimbali.