Bei ya saruji Mtwara yapaa, wananchi walalamika
Ikiwa ni siku chache baada ya kiwanda cha Dangote Industries Limited cha Mtwara kusitisha uzalishaji wa Saruji, wananchi wilayani Tandahimba wamelalamikia kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo jambo ambalo linapelekea kukwamisha shughuli za ujenzi.
