Asilimia 50 wasema ELIMU BURE ina ubora - TWAWEZA

Mkurugenzi Mkuu wa Twaweza, Aidan Eyakuze

Asilimia 50 ya wananchi waliohojiwa katika utafiti wa kubainisha ubora wa elimu katika shule za serikali tangu kuanzishwa kwa mpango wa elimu bila malipo, wamekiri elimu hiyo kuwa na ubora.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS