Nchi zinazoendelea kusaidiwa udhibiti wa Tumbaku Mvutaji wa Sigara Mradi wa miaka mitano umeanzishwa ili kuwezesha nchi zinazoendelea kupata msaada wa dhati wa kutekeleza mfumo wa shirika la afya duniani, WHO wa mkataba wa kudhibiti tumbaku. Read more about Nchi zinazoendelea kusaidiwa udhibiti wa Tumbaku