Mgodi watozwa faini ya milioni 10 kwa kukosa choo
Mgodi maarufu wa dhahabu mjini Geita wa GGM umekumbana na adhabu ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC katika Ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina Mkoani Geita.