Serikali yaahidi kuipiga tafu ligi ya wanawake

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye

Wizara wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeahidi kulisaidia Shirikisho la Soka nchini TFF katika kukuza na kuendeleza Ligi ya Wanawake hapa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS