Serikali yakiri kutofanya vizuri huduma za macho

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema takribani asilimia 27 katika vifo vinavyotokea nchini vinasabishwa na magonjwa yasiyoambukizwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS