Muigizaji bora wa kike. Waliochaguliwa kuwania kipengele cha Muigizaji bora wa kike katika tuzo za #EATVAwards ni Chuchu Hansy, Rachel Bithulo Njingo, Khadija Ally na Frida Kajala Masanja. Read more about Muigizaji bora wa kike.