Mchumba wangu ni 'wife material' - Q Chief Q Chillah ndani ya studio za EA Radio Msanii Q Chief ameamua kufunguka kuhusu suala la ndoa ambalo lilikuwa mezani kabla ya kutokomea kimya kimya, ambapo amesema kuwa mpango wa ndoa bado upo palepale. Read more about Mchumba wangu ni 'wife material' - Q Chief