Tani 32,300 za mbolea kusambazwa nchi nzima

Dkt. Charles Tizeba

Wizara ya Kilimo, Mifugaji na Uvuvi inatarajia kusambaza zaidi ya tani 32,300 za  mbolea ya kupandia  mazao zenye thamani ya shilingi billioni 30 kwenye mikoa 25 ili kuwawezesha wakulima kulima kilimo chenye tija na kuweza kupambana na baa la njaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS