Majambazi waendelea kuangukia mikononi mwa polisi

Kamishna wa Polisi Simon Sirro

Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam imewakamata watuhumiwa zaidi ya 10 wakiwa na Bastola nne ,Browning 1 namba A731441, Revolver 2,Glock 19 yenye namba ELS377, milipuko 6 na risasi 16.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS