Tanzania yawapa somo wanachama Mahakama ya Afrika Waziri wa Katiba na Sheria wa Dkt. Harison Mwakyembe Tanzania imezitaka nchi za Umoja wa Afrika (AU) zilizoridhia mikataba ya kuanzishwa kwa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu kutimiza masharti yaliyomo katika mkataba. Read more about Tanzania yawapa somo wanachama Mahakama ya Afrika