Sikutoa 'Muziki' kumfunika mtu - Darassa
Nyota wa hip hop katika anga la bongo Fleva, Darassa amesema hakutoa ngoma mpya inayokwenda kwa jina la 'Muziki' kwa lengo la kufunika ngoma ya mtu mwingine bali ni kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa jamii na kuwaburudisha mashabiki wake.