Tanzania yanufaika na soko la pamoja la EAC
Tanzania imekuwa ikinufaikia na fursa za kiuchumi na kibiashara zilizomo ndani ya soko la pamoja kwa nchi za Afrika Mashariki licha ya changamoto ndogo zinazohitaji ufuatiliaji ili kuboresha ushiriki wa wafanyabiashara wa Tanzania katika soko hilo.