AFCON yaanza kwa sare sare Burkina Faso vs Cameroon Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2017) imeanza usiku wa jana kwa kushuhudia sare mbili ikiwemo ya mwenyeji Gabon ambaye amelazimishwa sare ya bao 1-1 na Guinea Bissau katika mchezo wa ufunguzi Read more about AFCON yaanza kwa sare sare