Country Boy achekelea kusajiliwa na Mchafu Country Boy Msanii wa bongo fleva Country Boy amesema ameamua kujiunga rasmi na Petit Man chini ya meneja Mchafu kwa mwaka 2017, ili kuweza kutangaza muziki wake Kimataifa zaidi. Read more about Country Boy achekelea kusajiliwa na Mchafu