Kaliua yaibuka kidedea mpango wa kuinua elimu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amekabidhi hundi ya shilingi 704, 627,856 kwa Halmashauri ya Kaliua ambayo imekuwa ya kwanza kati ya 10 zilizofanya vizuri katika utekelezaji wa mpango wa 'lipa kulingana na matokeo'