Yanga yasaka point 3 kwa Majimaji Kikosi cha Yanga Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga leo wanatupa karata yao mbele ya Majimaji ya Songea iLI kuweza kusaka pointi tatu zitakazowafanya kuwakaribia vinara, Simba SC. Read more about Yanga yasaka point 3 kwa Majimaji