Watumishi zaidi ya 2,000 wahamia Dodoma
Jumla ya watumishi wa umma 2,059 wamekwisharipoti Dodoma katika awamu ya kwanza ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa wakati akikabidhiwa uenyekiti wa CCM, Julai 22, mwaka jana.
