Khadija Kopa naye sasa 'aisoma namba'
Msanii wa taarab Bongo, Khadija Kopa ni kama naye sasa 'anaisoma namba' baada ya kutoa kilio chake juu ya kupungukiwa na mapato yatokanayo na muziki na kutaja sababu mojawapo kuwa ni uamuzi wa serikali kuzuia matamasha ya muziki baada ya saa 6 usiku.