Matumizi ya pombe aina ya viroba Naibu Waziri wa Afya, Dk. Hamisi Kigwangalla amesema Serikali itazuia kutengenezwa viroba nchini na kufuta kabisa matumizi ya pombe aina ya viroba kabla ya mwezi wa sita. Read more about Matumizi ya pombe aina ya viroba