Tundu Lissu aachiwa kwa dhamana

Tundu akishuka kwenye gari iliyomfikisha mahakamani akiwa amebeba suti yake

Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka manne ya uchochezi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS