Mazungumzo Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu wa Msumbiji Mhe. Carlos Agostinho do Rosario walipokutana na kufanya mazungumzo ya kikazi mjini Mbabane Swaziland (March 17,2017) Read more about Mazungumzo