Wakali watano wa Prof. Jay hawa hapa
Rapa mkongwe na Mbunge wa jimbo la Mikumi Mhe. Prof. Jay amefunguka na kutaja wasanii wake watano wa hip hop Bongo ambao anawakubali na kusema wasanii hao ndiyo wamejenga msingi na kutengeneza njia kwa wasanii wa sasa.
