Azam yajifua kujipima kwa Red Arrows Wachezaji wa Azam FC wakijifua Baada ya mapumziko ya siku moja kikosi cha Azam FC kimeendelea na mazoezi, katika kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Red Arrows ya Zambia, siku ya Jumatano kwenye Uwanja wa Azam Complex. Read more about Azam yajifua kujipima kwa Red Arrows