Ratiba Kombe la Shirikisho yapanguliwa Raundi ya Sita ya mechi za kuwania Kombe la Shirikisho la TFF itaanza Februari 16, 2017 badala ya Februari 24, mwaka huu huku mechi kati ya Simba na African Lyon ikibadilishwa tarehe. Read more about Ratiba Kombe la Shirikisho yapanguliwa