Mwanaume wa hivi hafai kabisa - Shamsa Ford

Shamsa Ford

Msanii wa filamu nchini na mfanyabiashara Shamsa Ford amefunguka na kutoa somo kwa baadhi ya wanawake kuwa wakiona wapo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hajivunii uwepo wa mwanamke basi wajue wazi mtu huyo si wake bali atakuwa wa mtu mwingine. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS