QS kumuomba msamaha Q Chief QS Mhonda ndani ya FNL Bosi wa lebo ya muziki ya J Entertainment, QS Mhonda amefunguka na kusema atamuomba radhi msanii aliyekuwa chini yake, Q-Chief endapo atabaini kuwa alimkosea msanii huyo. Read more about QS kumuomba msamaha Q Chief