Neno la Shamsa Ford kwa mumewe Chid Mapenzi
Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford ambaye ni mke wa Chid Mapenzi amefunguka ya moyoni na kusema hata kama dunia nzima itakuwa ikimzomea mumewe, yeye ataendelea kumpenda kwani kitendo hicho hakiwezi kubadilisha mapenzi yake kwake.