Simba wa maajabu atafuna mbao Kirumba

Mechi ya mzunguko wa kwanza kati ya Simba na Mbao

Dakika 3 kati ya 7 za nyongeza zimetosha kuipa ushindi wa mabao 3-2 timu ya Simba SC dhidi ya wapinzani wao Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika katika dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS