Juuko Murshid arejea kundini Msimabazi Juuko Murshid Beki wa Kimataifa wa klabu ya Simba na timu ya taifa Uganda juuko Murshid amejiunga rasmi na kikosi chake cha Wekundu wa Msimbazi mara baada ya kukosekana kikosi hapo kwa zaidi ya miezi miwili. Read more about Juuko Murshid arejea kundini Msimabazi