Wanawake wa CCM wawakumbuka wagonjwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki ameungana na wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya hospitali hiyo kwa lengo la kuadhimisha Siku ya Wanawake duniani.