Uwoya ampa tano JK kwa kuwabeba wanawake Muigizaji Irene Uwoya amemshukuru Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwa kuwathamini na kuwaamini wanawake kwa kuwapa nafasi za juu katika kuongoza taifa la Tanzania. Read more about Uwoya ampa tano JK kwa kuwabeba wanawake