Jokate akerwa na matusi kwa wanawake
Mwanamitindo maarufu nchini, Jokate Mwegelo amewataka watu kuacha kutumia lugha za maneno makali (matusi) dhidi ya wanawake kwa kuwa wanawake ni watu wanaohifadhi maumivu na mambo mengi kwenye moyo zaidi ya wanaume.