David akutwa amefariki mtaani Sumbawanga

Mwili wa David Kahela

Kijana David Kahela, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 29 mkazi wa Mtaa wa Makutano, amekutwa amefariki dunia katika mtaa wa Mhama, Kata ya Malangali, Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS