Wasanii wa bongo ni wanafiki - Edu Boy
Rapa chipukizi kutoka Mwanza asiyekaukiwa na malalamiko, Edu Boy amewachana wasanii wa Bongo kuwa ni wanafiki na hawana ushirikiano kwani wamekuwa wakilalamika kwenye kundi la simu 'Whatsapp group' huku wakitoka hadharani wanajikausha.

