40 kuchujwa kwaajili ya Kilimanjaro Queens
Kikosi cha wachezaji takribani 40 bora cha Timu ya Soka la Wanawake nchini waliopatikana katika Ligi ya Taifa ya Wanawake kinatarajiwa kuingia kambini kuanzia wiki ijayo kwa ajili ya mazoezi na kutafuta wachezaji watakaokifanyia maboresho kikosi

