Nidhamu, kiwango duni kumuondoa Garnacho Chelsea

Alejandro Garnacho

Safari ya Alejandro Garnacho pale Stamford Bridge inaelekea ukingoni,  huku ripoti zikidai kuwa uongozi wa Chelsea upo tayari kumuuza winga huyo msimu huu wa majira ya joto baada ya kushindwa kuonesha cheche zilizotarajiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS