Msigwa atupa 'kijembe' Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa ametupa maneno yanayodaiwa kuwa ni 'kijembe' kwa wale wanaohama chama cha upinzani na kuwaambia kwamba upinzani ni kwa wanaume na si wavulana. Read more about Msigwa atupa 'kijembe'