Bilionea wa TAKUKURU apandishwa kizimbani
Aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi ya Kuzuiana Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Godfrey Gugai anayedaiwa kumiliki mali nyingi zisizolingana na kipato chake, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka 44.