Ndikumana azikwa Mwili wa nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Rwanda, Hamadi Ndikumana Katauti na mume wa muigizaji wa filamu Bongo, Irene Uwoya, umezikwa jana katika makaburi yaliyopo kwenye mji wa Nyamirambo nchini Rwanda. Read more about Ndikumana azikwa