Simba kurejea Dar es salaam na alama sita Kikosi cha vinara wa ligi kuu soka Tanzania bara Simba, kinarejea leo jijini Dar es salaam baada ya michezo yake miwili ya ligi kuu jijini Mbeya. Read more about Simba kurejea Dar es salaam na alama sita