Tutauza Figo zetu - Lema Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amewajulisha wananchi wa Singida Mashariki (jimboni kwa Lissu) kwamba kupigania kwao uhai wa Mbunge Tundu Lissu hakutakoma kwani hakuna thamani yenye kufikia thamani ya kiongozi huyo. Read more about Tutauza Figo zetu - Lema