Serikali yatoa muongozo upigaji chapa
Serikali kupitia wizara ya mifugo na uvuvi imetoa muongozo wa upigaji chapa mifugo kufuatia kuibuka kwa changamoto ya upigaji holela unaoharibu ngozi hali inayoweza kuifanya bidhaa hiyo kukataliwa kwenye soko la ndani na nje ya nchi